WAZIRI SIMBACHAWENE AZINDUA MPANGO SHIRIKISHI WA TAIFA WA KUZUIA NA KUKABILIANA NA UGONJWA WA MLIPUKO WA KIPINDUPINDU KWA MWAKA 2023 – 2027

Na Moreen Rojas Dodoma. Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge na uratibuĀ  George Simbachawene amezindua mpango shirikishi wa taifa wa kuzuia na kukabiliana na kipindupindu kuanzia mwaka 2023_2027. Waziri Simbachawene amehimiza Wizara ya afya kuhakikisha inafanyia kazi tetesi za ugonjwa na wagonjwa kufuatilia haraka ili kukabiliana na ugonjwa huo haswa maeneo yenye kupata